Ziara ya mfumo

Kutoka WiFi hadi kulipa na kuingia mtandaoni ndani ya dakika moja

Hizi ni skrini halisi wanazoziona wateja wako. Kila kitu hapa chini kinafanyika bila wewe kuingilia.

1

Mteja anaunganika na WiFi yako

Simu yake inafungua portal yako yenye jina, rangi, vifurushi na mitandao ya malipo unayokubali, yenyewe.

Mteja anaunganika na WiFi yako
2

Anachagua kifurushi na kulipa kwa simu

Anachagua kifurushi, anaweka namba ya M-Pesa, Airtel Money, HaloPesa au Mixx na kuthibitisha PIN. Hakuna pesa taslimu wala kusubiri agent.

Anachagua kifurushi na kulipa kwa simu
3

Anaunganishwa kiotomatiki

Malipo yakithibitishwa, mteja anaingia mtandaoni ndani ya sekunde kwenye WiFi yako ya MikroTik au TP-Link Omada, akiona muda na data iliyobaki.

Anaunganishwa kiotomatiki

Na upande wako

  • ✓Mauzo, malipo na vocha kwa kila kifurushi, moja kwa moja
  • ✓Agents: stoo, kamisheni na makusanyo yenye taarifa
  • ✓Routers, sessions na traffic ya moja kwa moja kutoka MikroTik
  • ✓CRM, tickets za wateja, stoo ya vifaa na ripoti
  • ✓App ya Android ya admin kusimamia kila kitu kwa simu