Kuanza Kutumia Mfumo
Jifunze hatua za msingi za kuanza kutumia SiscoHotspot.
Pata miongozo ya installation, MikroTik, vocha, malipo na utatuzi wa matatizo.
Chagua utakavyotumia WiFi. Hatua zinatumia majina halisi ya vitufe utakavyoviona.
Kuanzia kujisajili hadi mteja wa kwanza kulipia, hatua kwa hatua.
Wapi: siscohotspot.com → Anza Majaribio Bure
Kidokezo: Majaribio ni ya mpango wa Starter (router 1). Lipia mpango kabla majaribio hayajaisha ili uendelee kutumia mfumo.
Wapi: Kwenye router (WinBox)
Kidokezo: Command ya kuunganisha inafanya backup yenyewe, kisha inajenga upya upande wa wateja (ether2 na kuendelea): DHCP, DNS, hotspot na portal. Unatumia TP-Link Omada (EAP) badala ya MikroTik? Fuata "Muunganisho wa TP-Link Omada" hapa chini.
Wapi: Dashboard → Ongeza Router (au Routers → New)
Wapi: Routers → router yako → Kituo cha Kuunganisha
Kidokezo: Command ni ya router hiyo pekee, inatumika mara moja na inaisha baada ya dakika 15. Ikiisha, tengeneza mpya.
Wapi: Routers → router yako
Kidokezo: Orodha ya "Anza hapa" kwenye dashboard inaweka alama ✓ kwenye hatua hii ikishaona profile.
Wapi: Packages → New
Kidokezo: Ukiwasha "Start on First Login", muda unaanza mteja anapoingia mara ya kwanza, si siku ya kuchapisha vocha.
Wapi: Payment Gateways → New
Kidokezo: Unaweza kuruka hatua hii: wateja wanaweza kutumia vocha unazochapisha.
Wapi: Voucher Batches → New
Kidokezo: A4 inafaa printer ya kawaida; thermal ni ya printer ya risiti.
Wapi: Menyu → Muonekano wa portal, na Menyu → Matangazo
Wapi: Simu yako
Kidokezo: Portal isipofunguka, fungua http://neverssl.com kwenye browser.
Jifunze hatua za msingi za kuanza kutumia SiscoHotspot.
Sakinisha na panga mazingira ya server ya SiscoHotspot.
Unganisha RouterOS na usimamie shughuli za hotspot.
Unganisha access point za TP-Link Omada (EAP) bila MikroTik.
Tengeneza vifurushi na toa vocha salama za hotspot.
Fanya ukurasa wa WiFi uwe wako na wajulishe wateja wako.
Wape wageni, wanafunzi na wafanyakazi code za WiFi badala ya kuuza.
Pokea Mobile Money na uwasha huduma kiotomatiki.
Simamia taarifa za wateja, vifaa na usajili.
Elewa mauzo, malipo, wateja na utendaji wa router.
Linda akaunti na dhibiti ruhusa za wasimamizi.
Linda data kwa backup za kiotomatiki na njia za kurejesha.
SiscoHotspot tayari inaunganisha moja kwa moja na MikroTik RouterOS na mifumo ya malipo ya mobile money. Kwa integration maalumu na mifumo yako mwenyewe, timu yetu inaweza kukusaidia kuiweka.
Wasiliana nasi kwa installation, configuration ya MikroTik, malipo au msaada wa kiufundi.