Bei Rahisi na Zinazobadilika

Chagua mpango unaofaa biashara yako ya hotspot

Anza na mpango mdogo na uongeze kadri router, wateja na biashara yako vinavyokua.

Starter

Kwa biashara ndogo za hotspot zinazoanza kutumia mfumo wa kidigitali.

TZS25,000
kwa mwezi
  • Akaunti 1 ya ISP
  • 1 router (MikroTik au TP-Link Omada)
  • Hadi wateja 500
  • Vocha zenye QR ya kuingia kwa kubofya mara moja
  • Vifurushi vya muda na data
  • Malipo ya simu: M-Pesa, Airtel Money, HaloPesa, Mixx – vocha inawaka yenyewe
  • Gateway ya akiba: malipo yanahamia yenyewe kuu ikigoma
  • Wateja wanaarifiwa kwenye portal mtandao wa simu ukigoma
  • Portal yenye chapa, matangazo na picha
  • Inafanya kazi kwenye simu za zamani na Smart TV
  • Logo na rangi zako kwenye portal (au za SiscoHotspot)
  • Hoteli na shule: code za WiFi za mapokezi
  • Kufunga vocha kwenye MAC address
  • Fidia kwa wateja kwa kubofya mara moja baada ya hitilafu
  • Usimamizi wa msingi wa wateja
  • Muhtasari wa mauzo kwenye dashboard
  • Help Desk: tickets za wateja
  • Msaada kwa barua pepe na backup za kila siku
Anza Majaribio Bure
Inayopendwa Zaidi

Professional

Kwa ISP zinazokua zenye router kadhaa, zinazohitaji ripoti za kina, CRM na njia zaidi za malipo.

TZS55,000
kwa mwezi
  • Akaunti 1 ya ISP
  • Hadi router 5 (MikroTik au TP-Link Omada)
  • Hadi wateja 3,000
  • Kila kitu kilichopo Starter
  • Njia 2 za malipo zako mwenyewe
  • PPPoE: wateja wa nyumbani na ofisini wanaolipia kwa simu
  • Ripoti za kina, ripoti za agents na exports
  • CRM: historia ya wateja na malipo, ufuatiliaji
  • Msaada wa kipaumbele
  • Matumizi ya API (inakuja hivi karibuni)
Chagua Professional

Business

Kwa ISP zilizoimarika zenye timu na router nyingi.

TZS120,000
kwa mwezi
  • Hadi matawi 3 ya ISP (inakuja hivi karibuni)
  • Hadi router 20 (MikroTik au TP-Link Omada)
  • Hadi wateja 15,000
  • Kila kitu kilichopo Professional
  • Akaunti nyingi za wasimamizi
  • Majukumu na ruhusa
  • Inventory: stoo ya vifaa na historia yake
  • AI Center: utabiri wa mauzo na wateja wanaopotea
  • App za simu: app ya Android ya admin na app ya wateja
  • Portal bila maandishi ya "Inaendeshwa na SiscoHotspot" (white-label)
  • Ripoti za matawi mengi (inakuja hivi karibuni)
  • Matumizi ya API (inakuja hivi karibuni)
  • Ripoti za mauzo kwa e-mail kwa ratiba
  • Msaada wa kiwango cha juu
Chagua Business
Unahitaji kipengele kimoja cha plan kubwa zaidi? Ongeza CRM, Inventory, AI Center, app za simu au ripoti za kina kwenye plan yoyote kama add-on ya kila mwezi kupitia Marketplace kwenye dashibodi yako.

Bei na vikomo vinavyoonekana hapa vinatoka moja kwa moja kwenye mipango hai ya usajili. Makato ya mtoa huduma wa malipo hayajajumuishwa.

Linganisha Mipango

Chagua vipengele vinavyohitajika na biashara yako

KipengeleStarterProfessionalBusiness
Router (MikroTik au TP-Link Omada)1520
Wateja5003,00015,000
Wasimamizi1310
MawakalaBila kikomoBila kikomoBila kikomo
Njia za malipo1210
Usimamizi wa vocha ✓ ✓ ✓
Matumizi ya API — ✓ ✓
Logo na rangi zako ✓ ✓ ✓
Bila "Inaendeshwa na SiscoHotspot" — — ✓
Mobile app — — ✓
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Majibu kuhusu mipango na bei

Naweza kujaribu SiscoHotspot kabla ya kulipia? +

Ndiyo. Akaunti mpya za ISP zinapata majaribio ya siku 4 ili uweze kujaribu mfumo kabla ya kuchagua mpango.

Naweza kubadilisha kwenda mpango mkubwa baadaye? +

Ndiyo. Unaweza kubadilisha mpango kadri idadi ya wateja, router au mahitaji ya biashara yanavyoongezeka.

Je, usajili unajumuisha configuration ya MikroTik? +

Mfumo una vifaa vya kuunganisha MikroTik. Installation ya kina na configuration maalumu ya mtandao inaweza kutolewa kama huduma tofauti.

Makato ya miamala ya Mobile Money yamejumuishwa? +

Hapana. Makato ya DaliPay, PalmPesa au mtoa huduma mwingine wa malipo yatategemea makubaliano ya mtoa huduma huyo.

Inakuwaje mtoa huduma wa malipo au mtandao wa simu ukigoma? +

Gateway yako kuu ikigoma, malipo yanahamia gateway ya akiba yenyewe. Mtandao wa simu kama Airtel Money ukiacha kukamilisha malipo, wateja wako wanaona tangazo kwenye portal la kulipa kwa mtandao mwingine hadi utakapokaa sawa.

Kuna huduma za ziada? +

Ndiyo. Kama line yako ya internet inazidiwa jioni, tunaweza kupitisha hotspot yako kwenye VPS yetu ili jioni iwe ya uhakika, kwa makubaliano. Vifurushi vya SMS vya kuwaarifu wateja vinakuja hivi karibuni.

Anza Bila Wasiwasi

Jaribu SiscoHotspot bure kwa siku 4

Jaribu usimamizi wa vocha, MikroTik, malipo na ripoti kabla ya kuchagua mpango wa usajili.